Miss World 2015
by Selles Mapunda
Ni shindano ambalo limefanyika nchini China kwa mara ya saba
kuanzia mwaka 2003 ambapo kwenye fainali za 2015, mshindi ametangazwa kuwa ni
Mireia Lalaguna Royo wa Hispania ambaye umri wake ni miaka 23, wanasema kingine
kikubwa kilichompa nafasi ni umahiri wake mkubwa wa kuongea mbele ya hadhara. Nchi zilizoingia kwenye Top 10 ya shindano
hili la 65 ni Russia, Philippines, Guyana, Lebanon, Spain, Jamaica, France,
South Africa, Spain and Australia. Tanzania ilikua ikiwakilishwa na Mrembo
Lilian Kamazima ambaye pia alifanikiwa kuingia kwenye kumi bora ya Miss World
beauty with a purpose ambayo ilitokana na kuitumikia jamii kwenye project yake
ya tatizo la Fistula kwa kina mama.
No comments:
Post a Comment