BOND AMLILIA WASTARA!
Msanii wa filamu hapa nchini Bond bin Sinani aliydumu kwenye mahusiano ya kimapenzi na msanii mwenzake Wastara Juma kwa muda mrefu, hivi karibuni alimwaga machozi kumlilia mpenzi wake huyo baada ya kuolewa ndoa ya ghafla. akizungumzia tukio hilo Bond alisema ameumizwa sana na kitendo cha Wastara kuamua kufunga ndoa kwa siri na ghafla bila kumfahamisha.
No comments:
Post a Comment