HUDDAH ANAMBEMENDA HARMONISE!
Baada ya kuibuka kwa penzi kati ya mlimbwende Huddah Monroe wa Kenya na msanii chipukizi wa Tanzania Harmonise, wadau wengi wamedai kwamba mlimbwende huyo anambemenda mtoto huyo mwana bongoflavour zao la Diamond Platnumz! hayo yanasemwa pia kutokana na kukomaa kwa matendo ya mlimbwende Huddah kwenye historia yake ya mahusiano ya kimapenzi na kote alikopita ikiwa inaaminika kwamba harmonise ni kifaranga tu kwa mlimbwende huyo.
No comments:
Post a Comment