SHILOLE
AJILIWAZA SOUTH AFRIKA BAADA YA KIBUTI!
Msanii
machachari wa muziki wa kizazi kipya Shilole ametamba kwenye mitandao ya jamii
kwamba sasa ni mwenye furaha baada ya ku-break up na aliyekuwa mpenzi wake Nuh
Mziwanda. Shilole alijinasibu kwamba sasa ana mpenzi mpya na ameamua kujipa
faraja mwenyewe nchini Afrika kusini ili afungue ukurasa mpya.
No comments:
Post a Comment