LINAH AMWAGWA NA KAKA YAKE ZARI!
Ni rasmi
sasa mwanamuziki wa bongoflavour Linah Sanga amemwagwa na aliyekuwa mpenzi wake
Sebugeme, ingawa bado lina anaficha ukweli wa sababu ya kumwagwa kwake na pia
mpenzi wake huyo kukana kuzungumzia habari hiyo lakini habari zenye uhakika
zinadai kwamba mwanaume huyo alifikia uamuzi huo baada ya kugundua kwamba Linah
hajatua.
No comments:
Post a Comment