JIDE NA NAMELESS WADAIWA KUTOKA KIMAPENZI!
![]() |
Lady Jay Dee akiwa na NameLess |
Msanii nguli wa muziki wa kizazi kipya hapa nchini Judith Wambura Mbibo anadaiwa kuzama katika mapenzi na msanii wa Kenya Nameless! Wawili hao kwa takribani wiki nzima wameonekana katika sehemu mbalimbali za starehe jijini Nairobi Kachumbari linaweza kuthibitisha!
No comments:
Post a Comment