RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA NNE (4) MH: JAKAYA KIKWETE AMPONGEZA SAMATTA.
 |
Mbwana Samatta akiwa na Rais mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete na waziri wa vijana, utamaduni na michezo Mh Nape Nnauye. |
Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete akiingia ukumbini na Nyota wa Soka Tanzania, aliyeshinda Tuzo ya mwanasoka Bora wa Afrika kwa Wachezaji wa ndani, Mbwana Samatta, alipokutana na mchezaji huyo leo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam, kwa ajili ya kumpongeza kufuatia kutwaa tuzo hiyo
 |
Mbwana Samatta akimkabidhi jezi Nambari 9 Mh; Jakaya Kikwete |
No comments:
Post a Comment