wembe ads

wembe ads

Search Posts

Tanzania's Number one gossip blog with latest entertainment news, scandals, fashion and videos. contacts +255 789 120 888 (Dar Es Salaam, Tanzania)

Monday, 11 January 2016

DIAMOND ATIMULIWA KWENYE NYUMBA!

Msanii bingwa wa bongoflavour Nassib Abdul ametimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa amepanga na kuitumia kama studio maeneo ya sinza jijini Dar. Shuhuda wa tukio alisema hatua hiyo imefikiwa baada ya mmiliki wa nyumba hiyo pamoja na majirani kuchoshwa na kelele za Diamond na wacheza show wake ambao mara kibao wamekuwa wakipiga makelele na kufungua mziki kwa sauti kubwa nyakati za usiku.

No comments:

Post a Comment