DAVIDO ADONDOKA JUKWAANI, AZIMIA!
Msanii nguli, mapepe wa muziki nchini Nigeria David Adedeji Adeleke a.k.a Davido wikiend hii alidondoka jukwaani na kupoteza fahamu alipokuwa akifanya show. hata hivyo baada ya tukio hilo alichukuliwa na kukimbizwa hospital ambapo baada ya kupatiwa huduma hivi sasa anaendelea vizuri.
No comments:
Post a Comment