MSHAHARA WA SAMATTA MIL. 85 KWA MWEZI!
Msukuma kandanda bingwa Afrika kwa mwaka 2015 / 2016 mtanzania Mbwana Samatta yadaiwa amelamba joka baada ya kusaini mkataba wa kulipwa mshahara mnono wa tshs 85,000,000/= (shilingi za kitanzania milioni themanini na tano kwa mwezi) malipo hayo ni tofauti na malipo yake ya chakula, malazi na usafiri! mungu amzidishie!
No comments:
Post a Comment