ZARI AMFANYIA TAMBIKO TIFFA.
Mzazi mwenza wa mwananmuziki Diamond Platnumz mwishoni mwa wiki alisafiri mpaka kijijini kwao huko maeneo ya Jinja nchini Uganda kwaajili ya kuwafanyia tambiko wananwe wote akiwemo Tiffa wa Diamond Platnumz. Diamond alipoulizwa kuhusu tukio hilo na ushiriki wake, alikiri kufahamu kufanyika kwa tukio hilo lakini alikana kuhusika kwa kile alichodai kutokuwa na imani na mambo ya mila hizo.
No comments:
Post a Comment