LULU ADAI KUSITISHA KUUZA NA KUGAWA!
Baada ya kuzagaa kwa habari zinazomhusu msanii
Tekno wa Nigeria na msanii wa filamu nchini Tnzania Elizabeth Michael (Lulu)
kuwa wanatoka kimapenzi hatimae msanii Lulu amesema hivi sasa anasitisha rasmi
kuuza au kugawa penzi lake kwa mtu yeyote, isipokuwa mumewe mtarajiwa ambaye
pia hakumtaja kwa majina.
No comments:
Post a Comment