OMMY DIMPOZ AMWANIKA MPENZI WAKE!
Hatimae
msanii wa bongoflavour Omari Faraji a.k.a Ommy Dimpoz amemwanika rasmi mpenzi
wake! Siku ya sherehe ya kuzaliwa ya bint huyo aitwaye Emmy Mwarabu, Ommy alikaririwa akisema “Sijapenda kuweka wazi sana
swala la mahusiano kwasababu inatakiwa mimi niweze kuwa na uhakika kwamba huyu
ambaye namtambulisha kwa wananchi ni kweli wakati umefika,
kwasababu leo unaweza
ukawatambulisha huyu baada ya siku tatu mambo hayaeleweki ukatambulisha
mwingine, kwahiyo mwisho wa siku utaonekana kijana unatumia nafasi yako kuweza
kuchezea watoto wa kike, kwahiyo najaribu kuwa makini kwa hilo lakini kipindi
kitakapofika watu wataweza kufahamu kama Ommy ‘bae’ wake ni yupi'...
No comments:
Post a Comment