DIAMOND ALIVYOPAGAWISHA CHRISTMAS KATIKA VIWANJA VYA DAR LIVE, JIJINI DAR ES SALAAM:
![]() |
Msanii Diamond Platnumz akipokea heshima toka kwa mashabiki baada ya kuwapagawisha jukwaani siku ya sherehe ya Christmas katika ukumbi wa Dar Live, Mbagala jijini dar. |
![]() |
Msanii Diamond platnumz akifanya manjonjo ya kuruka sarakasi katika kuwapagawisha mashabiki wake. |
![]() |
Msanii Diamond platnumz akiwaimbia wimbo wake mpya "Je Utanipendaga?"mashabiki wake siku ya sherehe ya Christmas katika ukumbi wa Dar live, Mbagala jijini Dar. |
No comments:
Post a Comment