MSANII ALLY KIBA ALIVYOKINUKISHA KATIKA VIWANJA VYA ESCAPE ONE MIKOCHENI SIKU YA BOXING DAY
![]() |
Msanii Ally kiva a.k.a balozi wa wanyama akipagawisha mashabiki siku ya boxing day katika viwanja vya Escape one jijini Dar. |
![]() |
Msanii Ally Kiba king Kiba katika ubora wake akiruka summersolt stejini kuwapagawisha mashabiki. |
![]() |
Msanii Jokate Mwegelo akionyesha mahaba niue kwa mwandani wake King Kiba hadharani siku ya boxing day katika viwanja vya Escape One jijini Dar. |
![]() |
Mnyama Wema Sepetu akimpa 'Mahaga" balozi wa wanyama a.k.a King Kiba stejini katika show ya funga mwaka na Ally Kiba viwanja vya Escape One Mikocheni jijini Dar. |
No comments:
Post a Comment