Msanii nguli katika tasnia ya filamu hapa nchini anayekwenda kwa jina la Eshe buheti ametangaza rasmi vita kati yake na wafuasi wa msanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond Platnumz kutokana na kile alichokiita kutishiwa maisha. Akichonga na blog hii eshe alisema amefikia hatua hiyo ya kuueleza ulimwengu kuhusiana na vitisho alivyopewa na team hiyo baada ya yeyekupost picha ya hasimu wao Ally Kiba ndipo walipomshambulia kwa matusi na kuhaidi kumfanyia kitu kibaya wakati wowote!
No comments:
Post a Comment