FILAMU KALI YA FUNGA MWAKA "CHUNGU CHA TATU" YAWAFUNGISHA NDOA JB NA WEMA SEPETU!
Filamu hii nzuri na ya kusisismua iliyotufungia mwaka huu imewashirikisha wasanii mahiri katika tasnia hii ya filamu, Wema Sepetu na Jacob Stephene, pia washiriki wengine katika filamu hiyo ni pamoja na Patcho Mwamba na wengineo. ni nzuri inafaa kuitazama.
Kasha la Filamu ya Chungu Cha Tatu, inapatikana nchini kote!
No comments:
Post a Comment