HATIMAE FILAMU ZA KITANZANIA ZAANZA KUPATA TUZO ULAYA!
![]() |
Msanii na muongozaji wa filamu nchini tanzania Timoth Conrad ameshinda tuzo za Silicon Valley African Film Festival kupitia filamu yake ya Dogo Masai. |
![]() |
Muongozaji filamu wa Tanzania Timoth Conrad akiwa ameshikilia tuzo aliyoshinda katika kipengele cha "Special Mention- Narrative feauture" kupitia filamu yake ya Dogo Masai huko nchini Marekani. |
No comments:
Post a Comment