MASANJA MKANDAMIZAJI ASAKWA NA TRA!
 |
Inadaiwa kwamba msanii tajiri anayekwenda kwa jina la Emanuel Mgaya a.k.a Masanja Mkandamizaji anasakwa na maofisa wa TRA ili afanyiwe ukaguzi wa mali zake yakiwemo magari yake ya kifahari. habari zilizotua kwenye dawati la Kachumbari blog zimethibitisha maofisa wa TRA wakitembelea nyumbani kwa msanii huyo zaidi ya mara mbili na kumkosa. Sababu kubwa ya ziara yao inadaiwa ni katika kuhakiki uhali wa uingizaji wa magari yake hayo ya kifahari na ulipaji wa ushuru. |
No comments:
Post a Comment