ROMMY JONES NA DIAMOND KIMENUKA!
 |
Diamond na Rommy Jones
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond Platnumz anadaiwa kutibuana na aliyekuwa official DJ wake anayekwenda kwa jina la Rommy Jones ambae pia ni kaka yake wa damu. Habari zenye uhakika kutoka kwenye dawati la Kachumbari blog zimethibitisha kuwepo kwa mgogoro huo na kwamba hali ni tete ambapo imefikia hatua ya wawili hao kutosemeshana! Chanzo kutokana na maelezo ya Diamond Platnumz ni kwamba Rommy amekuwa mtovu wa nidhamu lakini katika chimba chimba yetu tuna habari zaidi ya hizo kutoka upande wa Rommy! Stay tuned................! |
No comments:
Post a Comment