Msanii asiyeishiwa vibweka kwenye maswala ya mahusiano Jack Wolper a.k.a Jack Gambe amedai kwamba hivi sasa yupo tayari kuolewa. Jack pia alisema kinamsukuma kufanya maamuzi hayo ni kutokana na ukweli kwamba hakuna asichokijua katika maswala ya mahusiano na hivyo basi anajiamini ameshakuwa mtu mzima. Jack ambaye kwa sasa yupo kwenye mahusiano tunayoamini yanaweza kupelekea ndoa alishawahi kuwa na mahusiano yaliyotangaza ndoa na wanaume tofauti hapo awali na kisha ndoa zote kuyeyuka.
No comments:
Post a Comment