Msanii wa maigizo na filamu hapa nchini Wastara Sajuki ambaye alikuwa mke wa msanii Juma kilowoko aliyefariki dunia miaka mitatu iliyopit amesema marehemu mume wake "Sajuki' anamzuia asiolewe tena! Wastara aliyesema hayo katika hafla ya kisomo cha kumkumbuka mumewe huyo ambae ametimiza miaka mitatu tangu afariki.
No comments:
Post a Comment