ZARI: MWANANGU TIFFAH LAZIMA AWE RAIS WA TANZANIA!
Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Uganda Zarinah Hassan ambae pia ni mzazi mwenza wa msanii wa muziki hapa nchini Diamond Platnumz amesema mtoto wake aliyezaa na mwanamuziki Diamond Latifa Nasib a.k.a Tiffah lazima atakuja kuingoza Tanzania kama rais. Akitolea ufafanuzi wa kauli hiyo Zari alisema anamlea mwanawe huyo kama alivyolelewa rais wa sasa wa Liberia bi Ellen Johnson Sirleaf kwa madhumuni tu ya kumjengea misingi ya kuja kuliongoza taifa hili. Kachumbari Blog inamuombea kila lenye kheri.
No comments:
Post a Comment