MAMA IDRIS AIKANA MIMBA YA WEMA!
Mama mzazi wa mshindi wa shindano la Biga Brother Africa mwaka 2015 / 2016 Idris Sultan amesema hautambui unaosemwa kuwa ni ujauzito wa msanii chakaramo wa Bongo Movies ambaye pia aliwahi kuwa Miss Tanzania mwaka 2006 /2007 Wema Sepetu mpaka pale atakapoongozana na Wema kwenda kumuona daktari ili apimwe na ithibitike!